054 - Yesu Atembea Juu Ya Maji from wanafunzi Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Maandiko ya kumbukumbu: Matayo 14: 22-33nWanafunzi wakiwa kati ya dhoruba, Yesu atembea juu ya maji kuelekea mashua yao. Petro ajaribu kutembea majini kukutana na Yesu kwenye ziwa.nnSwali 1: Kama ungeshuhudia muujiza uliohusiana na Yesu na kitendo cha ajabu, je muujiza huo ungefanana aje? Nani angekuwa hapo? Matokeo yangekuwa yapi?nnSwali 2: Je kuna wakati ambapo Yesu alikuponya kutoka kwa dhoruba na imani yako ikashuka?nnSwali 3: Je, kufahamu kwamba Yesu anaweza kutuokoa kutoka kwa wakati wa dh